Utafutaji mpya wa ndege ya Malaysia Airlines MH370 umeanza zaidi ya muongo mmoja baada ya kutoweka katika moja ya mafumbo makubwa ya ajali za anga duniani.
Kampuni ya utafiti wa baharini, Ocean Infinity, imeanza tena juhudi za kuitafuta ndege hiyo, kama ilivyothibitishwa na Waziri wa Uchukuzi...
Serikali ya Malaysia imekubali kuanzisha upya utafutaji wa Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH370, ambayo ilitoweka takriban miaka 10 iliyopita, ikiwa ni mojawapo ya matukio yaliyoshangaza sekta ya anga.
Siku ya Ijumaa, waziri wa uchukuzi wa Malaysia Anthony Loke alisema baraza la mawaziri...
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.
Nini...
Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara.
Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha.
Kuna...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni,"
Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
Wanaukumbi.
Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza.
Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
Kwa takriban miaka 10, Jiang Hui amekuwa akitafuta majibu kwa nini ndege iliyokuwa imembeba mama yake mwenye umri wa miaka 70 iliyorudi kutoka likizoni nchini Malaysia ilitoweka bila kujulikana.
Mamake Jiang, Jiang Cuiyun, alikuwa mmoja wa watu 239 waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia Airlines...
Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka
Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi.
Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Salaam Wandugu,
Nimepata taarifa mtandaoni kuwa ndege ya Malaysia iliyopotea miaka tisa iliyopita imekutwa kwenye maji ikiwa haina abiria.
Habari hiyo ilichapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Twitter linaonesha picha ya mbele ya ndege yenye kutu inayosomeka: “Ndege ya...
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa Nchini Malaysia wamesema kwamba kukamatwa kwa waziri mkuu wa zamani Muhyiddin Yassin, Alhamisi hakushangazi , lakini ni jukumu la serikali kuonyesha kwamba kesi dhidi yake ambaye pia ni mpinzani mkubwa siyo wa kisiasa.
Muhyiddin alikamatwa kwenye makao makuu ya...
Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imeeleza leo kwamba itasikiliza ombi la mwisho la Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak la kubatilisha hukumu ya kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi, na kuwa kuachiliwa kwake kunaweza kusafisha njia ya kurejea madarakani.
Mahakama hiyo...
Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.
Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa...
Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/-
Aliekua Waziri wa Kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.