“You can’t make a wise man a sláve, you can’t make a waŕrior a sláve. When you and I came here, or rather when we were brought here, we were brought here from a society that was highly civilized, our culture was at the highest level, and we were wárriors—we knew no fear. How could they make us...
This is photo of Malcolm X on the beach in Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 The year (1964)
just months before he was assassinated in the US 🤲🏽
. During his travels, he met with various leaders and explored Pan-Africanism, emphasizing unity among people of African descent around the world.
USIKU wa June 18, 1968 Karibu na Kijiji cha "Go Cong" kusini mwa Vietnam, Luteni Usu wa jeshi la Marekani akiendesha helikopta ya Mashambulizi aina ya G- Cobra yenye mruko namba AH1 alipokea taarifa ya kuombwa msaada kupitia simu ya upepo (Radio call)...
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii.
Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me
Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,
Martin...
Habari Wanajamvi,
kuna taarifa/story ambayo mimi sijaipata vizuri na napenda wanye uelewa watuhadithie.
Ni kwamba Malcom X alifundishwa Uislam na Elijah Mohamed lakini inaonekana Malcom alizisha uanaharakati na kufahamika zaidi kitu ambacho hakikumfurahisha Elijah, na pia Farrakhan hakuwa...
Nip kwenye kutafsiri kitabu cha Malcom X, jamaa maishani mwake kapitia uhuni mwingi sana. Pia alikuwa na marafiki wahuni balaa. mmoja wa rafiki yake huyu aliitwa Sammy The Pimp(Kuwadi Sammy). Hivi ndivyo alikuwa akipata makahaba wa kuwauza.
Sammy alikuwa amempa mimba msichana mmoja huko kwao...
Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston.
Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea chini hadi kufikia upana wa nchi kumi na mbili kwenye pindo la chini. Koti lake lilikuwa refu...
Machi 1966, Muhammad Aziz, Khalil Islam na Mujahid Abdul Halim walihukumiwa kifungo kwa mauaji hayo na kisha Halim alikiri kumuua Malcom X, ingawa alikuja kuachiwa huru mwaka 2010.
Novemba 2021, Mamlaka za Jiji la New York zilithibitisha kuwa Aziz na Islam waliokaa jela miaka 20 hawakuhusika na...
Na. Norbert Mporoto.
Tanzania.
Mei 15, 2021
Uhuru wa taifa la kenya ulibisha hodi kwa furaha, lakini utawala wenye mizizi na mabaki lukuki ya chembechembe za kikoloni uliitia doa historia ya taifa hilo. Miaka miwili mara baada ya uhuru, historia iliandika kifo cha kwanza cha mwanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.