Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe?
Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa!
Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo?
Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
Anonymous
Thread
bonde la mto mzinga
bonde la mzinga
kero
magorofa ya nssf
malela
mzinga
nyumba
tuangoma
uvunjaji wa nyumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.