Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Wakuu za usiku.
Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi cha kukaa na kuangalia TV, Watu wavivu, Ombaomba na Maskini. Hii haikubaliki
Naomba kutoa...
Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili.
Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha.
Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako
Mama/baba mfundishe kijana wako wa kiume swala la kuosha vyombo, kupika na kufua nguo si swala la mwanamke na huyo binti yako pia...
Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi.
Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote laweza tokea ila angalau mtu ajue kujifulia nguo, kuweza kutumia usafiri wa umma, kuweza kula vyakula...
Hellow JF.
Hivi sasa jamii zetu zinapitia wakati mgumu sana katika swala la malezi na makuzi ya watoto ukilinganisha na jamii za miaka ya yuma.
Hivi leo kumekuwa na visa vingi sana mitaani vikahusishwa na malezi pamoja na makuzi ya watoto.
Leo jamii zinalia juu ya tabia na mienendo ya watoto...
Wataalam wa malezi naombeni msaada wenu
Na huwa nipo bize kumuwekea katuni na muvi za watoto kwenye flash, nimemnunulia game ya tv (playstation), kwenye tv nimembana aangalie zaidi mpira na mieleka tu. hakuna simu wala internet.
Jana nikiwa sebuleni nilikuwa nacheki tv, sikuiona rimoti ikabidi...
Habari wakuu.
Wazazi WANAUME tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu.
Umaskini ni mbaya Sana Tena Sana.
Unaleta ugomvi kwenye familia na pia umaskini unatenganisha familia.
Soma Pia: Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote
TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu. Ukatili, maumivu, mateso na uharibifu wa Ndoto za Watoto wengi zilizotokana na ubinafsi mbaya...
You go talk to kindergarten or first grade kids, you find a class full of science enthusiasts.
And they ask deep questions.. They ask ! "What is a dream, why do we have eyes, why is the moon round, what is the birthday of the word, why is the grass green?. These are profound and important...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.