1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha.
2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
Kuna mtoto wa jirani mbali kidogo na nyumbani ila kwakuwa nyumba zetu ziko scattered tunaishi kama majirani.
Mtoto huyu huwa anapenda kuja nyumbani hushinda nyumbani mara nyingi. Kwa siku hutumia masaa 4 mpaka 8 nyumbani kwangu hasa kipindi hichi cha likizo.
Nimewahi kumtimua mara 2 kutokana...
Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo.
Graison aliuawa usiku wa kuamkia juzi, wakati mama yake alipokwenda matembezini na rafiki yake wa kiume.
Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada.
Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani.
Hapa nazungumzia wale wazazi ambao walitengena kwa sababu zozote zile na watoto kulelewa na mzazi mmoja...
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, umomonyoko wa maadili na malezi duni umekuwa ukisababisha changamoto kubwa katika kufanikisha uwajibikaji na utawala bora.
Kwanza kabisa, tunapaswa kuwalaumu wazazi kwa kushindwa kuwalea...
Good morning Tanganyika!
Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi nathubutu kusema iko humu JF, sasa kitu kinapotrend sana Jamii forums ni lazima upate picha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.