Kwema Wakuu,
Katika another episode ya digitali samala kwa watoto, welcome to my channel😂😂 vile najiona kama influencer wa maana:BearLaugh:.
Kama mada inavyosema Wakuu, wengi tunadharau watoto hawajui mambo tunayoona ni 'makubwa' kwa umri wao na wengina naona tunaogopa tu kujua ukweli...