malezi na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Wazazi wako walikuonyesha mapenzi kihisia au walitimiza majukumu yao ya kimsingi kama chakula, mavazi, na makazi basi?

    Je, wazazi wako walikua na ukaribu na wewe, walikutia moyo, waliongea na wewe pale ulipohitaji, walitenga muda kwa ajili ya kufanya vitu pamoja na wewe au upendo wao ulionyeshwa kwa kutimiza majukumu yao ya kimsingi na kutilia mkazo nidhamu zaidi (baba au mama akifika nyumbani kila mtu...
  2. Saad30

    Wazazi Wanaume tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu

    Habari wakuu. Wazazi WANAUME tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu. Umaskini ni mbaya Sana Tena Sana. Unaleta ugomvi kwenye familia na pia umaskini unatenganisha familia. Soma Pia: Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote
  3. R

    Mara ya mwisho kumwambia Mwanao unampenda ni lini?

    Salam Wakuu, Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao. Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
  4. R

    Ni kitu gani mzazi/ mlezi alikukosea ukiwa mdogo bila kukuomba msamaha na kinakuumiza mpaka leo, mlioweza kusamehe mlifanyaje?

    Watu wengi wakiwa watoto wanafanyiwa matukio ya kuumiza na kwasababu ya udogo wao wengi hupuuzwa au kuongezewa maumivu badala ya kushughulikia madhara yaliyoletwa. Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa "Mkubwa hakosei" wazazi/ walezi wengi huwa hawaombi msamaha endapo amemkosea mtoto, na watoto...
Back
Top Bottom