malezi na makuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Reflections za mwisho wa mwaka: Nilichogundua watu wengi tumebeba trauma za utotoni na kufanya yawe maisha yetu

    Wakuu, Wakati tunaenda kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine ni vizuri tukaangalia nyuma na kujifunza kwa waliyopita. Moja ya kitu nilichoona hiki, watu wengi tumebeba trauma za utotoni na kufanya haya ndio yawe maisha wetu. Mtoto anajifunza kwa kuiga kutoka kwa waliomlea na wanaomzuka...
  2. Down To Earth

    Mtoto wa miaka 12 amejiteka akiwa na mdogo wake huko jijini Mwanza!

    #HABARI Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina Frola Samson (12), mkazi wa wilaya ya Ilemela amepatikana baada ya msako wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza akiwa eneo la Buhongwa ambako alijificha yeye na mdogo wake aitwaye France Samson (8) huku akidanganya kuwa wametekwa...
  3. Side Makini Entertainer

    Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

    Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
  4. mmmuhumba

    SoC04 Neno tusi ni sumu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume

    Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
  5. J

    Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

    JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi, twende kazi.... SWALI: Ndoa ni nini? Je...
Back
Top Bottom