Kwa ninayoyaona mtandaoni na maisha ya uswahilini nimeogopa kuwa na watoto wa kike nahisi watakuja kunidissapoint .
This generation sucks inaleta disappointment sana kuona blunders zinazofanywa na this gender.
Humo Telegram na WhatsApp pamejaa magroup ya watoto wa kike wadogo kiumri wanajiuza...