malezi ya baba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Baba Jitahidi kurudi nyumbani mapema wakati mwingine watoto wanakuhitaji sana

    Baba wengi wakati mwingine wanachelewa kurudi nyumbani kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kikazi. Lakini Baba wengine akishahakikisha kila kitu ndani kipo basi ndo kamaliza hivo. Atakuwa anarudi usiku mnene wakati mwingine anaweza asionane na watoto wiki nzima na hajasafiri. Baba ni yeye...
  2. Mwanga Lutila

    Wanaume kama umetelekeza mtoto kijijini nenda kamchukue

    Wakuu wasalaam.. Niko vijiji vya ndani ndani huku Ndiwili wilaya ya kilolo nimekuja kwa shughuli zangu..baridi ni kali . Katika matembezi yangu nikakutana na watoto wadogo chini ya miaka 10 wengi ni 7 na 8 wakifanya vibarua vya kusomba mbao yaani kuzitoa msituni na kuzipeleka lilipo gari ili...
  3. Comrade Ally Maftah

    Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  4. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  5. R

    Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
Back
Top Bottom