Leo tutumie platform hii kutambua, kuthamini na kuheshimu majasho ya mama zetu katika kutuandalia maisha yetu ya leo.
Binafsi naheshimu na kutambua thamani za Baba zetu katika kutufanya kuwa tulivyo na nitaleta uzi wa kutambua thamani yao ila leo naomba tutambue harakati za mama zetu katika...