📖Mhadhara wa 22:
Ni kama zimeanza kujengeka fikra na hisia mbaya za kudhani kwamba kuwa SINGLE MOTHER ni kufeli maisha, au ni maumivu makubwa kuliko maumivu mengine yoyote hapa duniani. Kama una fikra hizo achana nazo zitakuchelewesha.
Kuna baadhi ya wanawake baada ya kujikuta wamekuwa SINGLE...
Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo.
Sasa akaja jamaa akapaki hapo.
Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume.
Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea like 30 mins.
Then wakaagana.
Sasa mtu unapata tabu kuona mwanao mida ya wachawi mbaya sana.
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa kuwa extrovert jambo ambalo haliwezekani.
Lakini kuwa introvert au extrovert si tatizo. Tafiti...
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA .
1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first)
Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa...
Heloe JF,
Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na ndugu zake upande wa kiume.
Sasa karibu shule zinafungwa nazani baba ake atamchukua kwaajili ya...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini,
Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
Mtoto ni hazina ya taifa.
Malezi ya mtoto huanza pale anapozaliwa na kuanza kujenga uhusiano baina ya mtoto na mzazi au mlezi wake.
Naposema malezi bora aidha kutoka kwa mzazi wake au mlezi hupelekea mwelekeo au dira ya mtoto kama wahenga walivyosema "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" hapa...
Salam Wakuu,
Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao.
Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.