Ewe mzazi usimbane bane mwanao wa kike. Wewe na mwanao mtakuja kulia kilio cha mbwa koko
Dhama zimebadilika, mtoto wa kike hachungwi. Hatakiwi kubanwa banwa zaidi ya kupewa elimu ya ujinsia na uzazi ili ajitambue
Hizi habari za eti "Nikikukuta na kijana yoyote wa kiume umesimama naye...