Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC!
"Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama wakipewa na Serikali na sisi hatuwezi kulalamika ila na sisi tumeiandikia Serikali kuwakumbusha...