Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
Aprili 25, 2023, Mahakama ya Wilaya ya MBULU imemtia hatiani Mshtakiwa Bw. SAMWEL QAMBINA DUKHO, katika Shauri la Uhujumu Uchumi Na.06/2022.
Shauri hili lilikuwa mbele ya Mh. Victus KAPUGI na liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka MARTINI MAKANI
Katika shauri hilo mshtakiwa alikua anashtakiwa kwa...
Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini.
Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report.
Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali.
DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa.
Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga?
Hivi hizi...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika...
Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano.
Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa na utulivu hapana kulingana na uelewa wangu. Amani na utulivu ni matokeo tu kipo kinachofanya watu...
Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.