mali za rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Odero: Leo hii Mbunge akisimama kuzungumza Bungeni jambo la kwanza ni kumshukuru Rais kwa kuleta Fedha, Fedha za umma zimegeuka Mali za Rais

    Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani hotuba anaijaza shukrani lukuki kuliko hoja za msingi. ==== “Leo hii Mbunge akisimama kuzungumuza...
  2. ndege JOHN

    Nashindwa kuwaelewa watanzania. Hivi kweli mnategemea nchi yetu tuwe na Rais maskini wakati sekta binafsi tu yenyewe ina pesa kibao

    Seriously watu roho inawauma Kwa mfano Rais awe na billion zake 20 mnataka asiwe nazo asiwekeze? Mimi naona Rais ni mtu mkubwa anaweza akapewa hata zawadi na kiwanja cha cement wakampa macement kibao akaenda kujenga anachokiwaza. Mlitaka Hayati Magufuli asimiliki manyumba ambayo watu kibao wa...
Back
Top Bottom