mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mkuu wa Mali alazimishwa kupumzika

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika. Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi. Serikali...
  2. Wanajeshi 42 wa Mali wauawa katika shambulizi

    Mashambulizi yaliyofanywa na ndege isiyo na rubani na mizinga yameua Wanajeshi 42 Nchini Mali katika shambulizi la Waasi Nchini humo. Serikali ya Mali imesema katika shambulizi hilo lililotokea katika Mji wa Tessit Wanajeshi 22 walijeruhiwa. Mara ya mwisho Mali kupata pigo kubwa kama hilo ni...
  3. Mali: UN yasema waliohusika mauaji ya raia 33 ni Wanajeshi wa Mali na Mgambo wa Urusi

    Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali. Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea...
  4. Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

    Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
  5. SoC02 Nimeamua kuingia mwenyewe shambani - Kilimo cha Parachichi

    Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...
  6. N

    Uongozi ni kama mali ya Familia

    Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote waliobaki na unavyoondolewa haimaanishi kwamba umefanya vibaya sana na ndio maana tunasema Uongozi...
  7. U

    Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga. Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi. Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
  8. Mali yazuia utaratibu wa wanajeshi wa UN kuingia nchini humo

    Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama. Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi itakuwa lini, tamko ambalo limetolewa na Wizara ya Nje ya Mali. Tamko hilo limetolewa siku nne tangu...
  9. Mali yawakamata wanajeshi 50 wa Ivory Coast, yadaiwa ni mamluki

    Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye Maiga amesema wanajeshi hao waliwasili kinyume cha sheria akiwaita watu hao ni ‘mamluki’ na kuwa...
  10. ECOWAS yasitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali

    Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
  11. Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.” Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
  12. Zaidi ya watu 100 wameuawa katika shambulizi Mali

    Serikali ya Mali imesema raia wa kawaida 132 wameuawa baada ya vikundi vya waasi wanachama wa kundi lenye silaha la Katiba Macina linalotajwa kuwa na uhusiano na Kundi la Al-Qaeda kuvamia vijiji na kushambulia katika Mji wa Mopti. Matukio hayo yametokea usiku wa kuamkia Juni 18 na Juni 19, 2022...
  13. Nani aliyetudangaya mbuga na hifadhi za wanyama ni mali yetu?

    Wasalaam wana JF Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia. Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo...
  14. Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  15. Hatimaye Dkt. Mwaikali akabidhi mali za Kanisa la KKKT

    Hatimaye aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Usharika wa Ruanda, Dk Edward Mwaikali amekabidhi ofisi na mali, yakiwamo magari 10 kwa askofu mpya, Geofrey Mwakihaba. Makabidhiano hayo yalifanyika juzi katika usharika wa Ruanda, chini ya...
  16. Ngorongoro ni mali ya Maasai wa Tanzania na Kenya

    WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
  17. Aliyevuliwa UASKOFU Kanisa la KKKT, Dkt. Mwaikali akubali kurejesha mali za Kanisa

    Wakati mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Konde ukifikia kwenye hatua ya kugombea mali, imefahamika kuwa hatimaye upande wa uongozi uliondolewa madakani umekubali kurejesha mali za kanisa hilo. Mgogoro uliibuka baada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Geofrey...
  18. Hawa wanaojinasibu kuwa CCM ni mali yao mbona ndio wanajihusisha sana na ufisadi hapa ncnini? Kagasheki ndio alitoa amri ardhi ya Ngorongoro ipunguzwe

    Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu. 👇🏿 Mwananchi › kitaifa CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
  19. Pesa ni Mfalme wa watu wote

    Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
  20. M

    Hii dhulma ya kunyang'anya mali binafsi haitaiacha salama Marekani

    Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…