maliasili na utalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua miradi ya NHC

    Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Timotheo Mzava (Mb), imekagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu ya nyumba inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma. Ziara hiyo imefanyika Oktoba 19, 2026, ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, Dkt. Ashatu Kijaji. Je, anatosheleza kuendelea kushika nafasi ya Uwaziri wa Maliasili na utalii?

    Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na Utalii. Kwa mtazamo wangu, matukio haya yanaibua swali kubwa kuhusu ufanisi wa usimamizi wa sekta ya...
  3. JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Wizara inasema Watalii wamefikia Milioni 5.3, Mtu anakuja kununua vitunguu kutoka Kenya, naye anaambiwa ni mtalii

    Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, akichangia Bungeni bajeti ya wizara ya maliasili na utalii amesema ... "Leo hii wizara inatuambia watalii wamefikia milioni 5 na laki 3... Lakini ukweli ni kwamba hizi takwimu ukifuatilia ni takwimu zinazochukuliwa kwenye boda, kwenye mipaka yetu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…