Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo.
Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka.
Asante Bwana Yesu siibiwi tena
Wakuu kuna huyu mama alikuwa waziri wa Afya wa Africa kusini kipindi cha Thabo Mbeki, alikuwa anaitwa Manto Tshabalala Masimang.
Huyu alikuwa anapinga kuwa VVU haisababishi UKIMWI na akawashauri wananchi watumie malimao na vitunguu saumu kutibu UKIMWI. Mbeki alikuwa nyuma yake naye akiamini VVU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.