malimbikizo ya mishahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya ufuatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

    Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara. Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza fomu maalumu(unajaza) pamoja na barua za maombi lakini hayafanyiwi kazi tunapata changamoto tusaidiwe.
  2. M

    Walinzi Arusha wafunga mageti na kuondoka kwenye hospitali kubwa Seliani, wanadai milioni 42

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka. Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya mishahara ya miezi 6 shilling million 42. Ambapo mkuu wa kampuni hiyo ya ulinzi akisema waliwapa notice...
Back
Top Bottom