Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika.
Pamoja na kwamba tulipunguziwa mishahara kwa asilimia 40 tukipewa ahadi kwamba mambo yatakuwa sawa...