Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia.
Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa...