Tulipewa kazi ya kufanya makala na Taasisi ya WATED, ambapo ilifanyika mkoani Tanga, na ilitakiwa tulipwe na taasisi ya WATED wakishalipwa na Shirika la OHCHR ( Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights) baada tu ya kukabidhi kazi, na kazi ilikabidhiwa ndani ya wiki moja...