malipo ya deni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LA7

    Umewahi kulipwa deni ulilolipotezea bila kutarajia?

    Nakumbuka jumapili moja nikiwa Sina hata 100 mfukoni nikiwa nawaza nafikaje kesho chuo maana kwenda na kurudi ni 1200 basi mida ya saa mbili najiandaa kwenda kanisani mara nikapigiwa simu na namba ngeni. Nikasikia sauti ya mwanaume akiniambia nimsamehe kwani alikuwa amepata...
Back
Top Bottom