malipo ya fidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Insidious

    KERO Danadana malipo ya fidia Kipunguni

    Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya ardhi ilifanywa tangu jana, na hata miaka ya nyuma (1997), lakini hadi leo hatujaona malipo yoyote...
  2. I

    Raus Samia hapa umepotoka, fidia ilipwe kwanza

    Wakili Madeleka: Huwezi KUMVUNJIA MTU NYUMBA YAKE bila KUMLIPA FIDIA, ili ujenge BARABARA, halafu ukamwambia hayo ni “MAENDELEO YAKE”, asubiri “UTAMLIPA BAADAE”. Sasa unataka AKAISHI WAPI NA FAMILIA YAKE? Huu ni UKATILI ambao HAUKUBALIKI. Serikali ILIPE FIDIA za watu, tena STAHIKI. Pia soma >...
  3. H

    Pre GE2025 Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize miradi ya maendeleo kwanza ndipo tuwalipe

    Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia. Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke...
  4. T

    Malipo ya fidia ya Kipunguni yatua Bungeni nani anakwamisha? Tuikae CCM

    Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. Je, mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha, Uchukuzi, TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM, tuambiwe. Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu. Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe...
  5. D

    DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  6. Mwesiga frolian

    SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  7. Nyendo

    Rais Samia: Mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kuanza, fidia zinalipwa

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na...
  8. COMORIENNE

    Sheria inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia?

    Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
  9. Musa Kadiko

    TRC inaendelea na zoezi la malipo ya fidia

    Wananchi wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wanufaika na Fidia ===== Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendela kuwapatia malipo ya fidia wananchi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro il kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGRkipande cha pili Morogoro Makutupora kwenye zoezi la malip0 ya...
Back
Top Bottom