malipo ya likizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Torra Siabba

    KERO Malipo ya likizo yamekuwa yanachelewa sana kwa Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe, tunajiuliza kuna shida gani kwetu?

    Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu? Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara. Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa...
Back
Top Bottom