Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
bajeti 2024/25
bajeti kuu 2024/2025
bajeti kuu ya serikali
kikokotoo
malipokwawastaafumalipoyamkupuokwawastaafu
mwigulu nchemba
samia hassan suluhu
waziri wa fedha