Tabia hiyo inatajwa kuwa endelevu kwa vyama hivyo kutolipa kwa wakati pesa za wauza mazao hao. Minada inapigwa kila wiki ndani ya wilaya hiyo lakini malipo ya pesa katika mnada husika hazilipwi na kupiga mnada mwingine ambao unashuka bei.
Wilaya hii imekuwa tofauti na wilaya nyingine zilizopo...
Anonymous
Thread
malipoyamnada
minada tunduru
uchelewashwaji malipo vyama vya msingi
vyama vya msingi tunduru
vyama vya ushirika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.