Siku ya jana wakati naperuzi jf niliona kuna mdau anauliza kama kuna bloggers hapa bongo wanapiga zaidi ya milioni, ni swali lililonikumbusha mbali sana.
2020 kuna rafiki yangu anaefanyia kazi benki aliwahi kuniambia kuna kazi inaitwa blogging na kuna vijana wadogo tu (early 20s) huwa wanalipwa...