malipo ya pensheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu Wazee CCM: Mbunge miaka mitano tu analipwa hela nyingi kuliko mtumishi aliyetumikia miaka 40

    Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda waliotumikia kulinganisha na marupurupu wanayopata wabunge baada ya kuhudumu kwa miaka mitano pekee...
  2. A

    KERO Kuchelewa kwa pension zinazolipwa na Hazina

    Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika maswala mbali mbali kama chakula, matibabu na nk. Hivyo kitendo cha kuchelewesha pension hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…