Habari Wakuu,
Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia kuwalipa mwisho wa mwezi.
Kukiwa kama nyumba ina wapangaji kadhaabasi kila mpangaji atapaswa kuchangia...