Wilaya ya kisarawe, hivi karibuni kumefanyika uhamisho wa baadhi ya watumishi kwenda vituo tofauti vya kazi, uhamisho huo umefanyika bila malipo ya stahiki ambazo watumishi wanatakiwa kupatiwa ili kufanikisha kuhama kwao.
Tatizo hili limekuwa linafanyika kwa miaka na miaka kwa hiyo kumekuwa na...