Kuna matajiri wa malori wanapenda kuonea madereva wao hasa wanapowapa malori kupeleka mizigo nje ya nchi, kwanza malori yanabebeshwa mzigo mzito kuliko uwezo wake.
Dereva anapewa hela ya kuhonga mizani, na dereva akiishiwa diseli anashurutishwa anunue mwenyewe, na lori likiwa na overload...