malumbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…