Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib.
Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...