Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa Bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu kuunga Mkono jitihada za...
Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya kisasa na mitaji ya kuimarisha biashara. Wafanyabiashara hao walitoa wito huo kupitia ‘Coca-Cola...
Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu
Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
ahukumiwa
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mamalishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo
Uongozi wa soko la baba na mama lishe Kisutu jijini Dar es Salaam wamesema Serikali iwashughulikie kundi la mama lishe na baba lishe ambao wanaondoka sokoni hapo na kurejea mitaani kwa kigezo cha kushindwa kulipa ushuru wa shilingi mia tano.
Akizungumza nasi katibu wa soko hilo, Bakari Hussein...
Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara.
Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
Hivi sasa barabara zetu za Dar es Salaam zina lami pamoja na Mifereji. Lakini naona michanga barabara ni mingi na wafagizi wengi wanamwagia huo mchanga kwenye hiyo mifereji.
Hivyo ni vizuri mkanunua magari ya kufagia barabara na pili hiyo mitaro isafishwe. Maana la stand ya Mbezi na machinga...
Habarini wakuu,
Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk.
Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
Ukweli utawala wa awamu ya 5 kuruhusu wamachinga na mama lishe.
Kufanya biashara popote watakapo na wasibughudhiwe ulikuwa na ushamba wa aina yake. Zamani maeneo ya Posta yalikuwa ni maeneo ya kuvutia sana sio kwa wageni bali hata kwa wenyeji.
Yalikuwa masafi yasiyo na misongamano ya hovyo...
Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo.
Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.