mama lishe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Shilole azindua mama lishe na Samia

    Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  2. Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  3. Mama Lishe, Wakulima wa Mbogamboga na Bodaboda wapewa mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi kutoka REDESO

    Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa Bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu kuunga Mkono jitihada za...
  4. N

    Mama lishe watoa wito kwa wadau kuwasaidia kuboresha biashara zao

    Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya kisasa na mitaji ya kuimarisha biashara. Wafanyabiashara hao walitoa wito huo kupitia ‘Coca-Cola...
  5. B

    LGE2024 Mbunge Samizi agawa mitungi ya gesi 200 kwa Mama na Baba lishe 200 Muhambwe, ahamasisha ushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa

    Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
  6. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  7. Mama lishe walikimbia soko la Kisutu, warudi mtaani kisa ushuru wa shilingi 500

    Uongozi wa soko la baba na mama lishe Kisutu jijini Dar es Salaam wamesema Serikali iwashughulikie kundi la mama lishe na baba lishe ambao wanaondoka sokoni hapo na kurejea mitaani kwa kigezo cha kushindwa kulipa ushuru wa shilingi mia tano. Akizungumza nasi katibu wa soko hilo, Bakari Hussein...
  8. Uwezeshaji wa Mama Lishe 360 kiuchumi

  9. Chuo cha IFM kimezingirwa na biashara ya mitumba, chips na mama lishe

    Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara. Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
  10. A

    RC Makalla, nunueni magari ya kufagia barabara; himizeni mama lishe kutumiia maji tiririka

    Hivi sasa barabara zetu za Dar es Salaam zina lami pamoja na Mifereji. Lakini naona michanga barabara ni mingi na wafagizi wengi wanamwagia huo mchanga kwenye hiyo mifereji. Hivyo ni vizuri mkanunua magari ya kufagia barabara na pili hiyo mitaro isafishwe. Maana la stand ya Mbezi na machinga...
  11. G

    Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  12. Hadhi ya Posta Mpya imeharibiwa na biashara za machinga na mama lishe

    Ukweli utawala wa awamu ya 5 kuruhusu wamachinga na mama lishe. Kufanya biashara popote watakapo na wasibughudhiwe ulikuwa na ushamba wa aina yake. Zamani maeneo ya Posta yalikuwa ni maeneo ya kuvutia sana sio kwa wageni bali hata kwa wenyeji. Yalikuwa masafi yasiyo na misongamano ya hovyo...
  13. Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…