Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha.
Mama Maria ameyasema hayo...
Wakuu
Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliomalizika hivi karibuni na Tundu Lissu kuibuka mshindi wa Uenyekiti...
Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu.
Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona bado yupo imara.
Tena ametoa bonge la maoni juu ya maendeleo ya nchi Kwa Sasa.
Hii...
Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu...
Tarehe 31.12.1929 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.
Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".
Mama yetu leo anatimiza...
Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu.
Tafadhali isikilize historia yake:
Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais.
"Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa...
MAMA DAISY, MAMA MUNI (BI. ZAINAB SYKES) NA MAMA MARIA NYERERE 1950s
Nimetanguliza picha katika bandiko kabla ya hili mama zetu wanapiga kura mwaka wa 1962.
Yapi yalikuwa maisha ya wake wa viongozi wa TANU kipindi kile cha kupigania uhuru?
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: MABAIBUI YALIYOMPOKEA MWALIMU NA MAMA MARIA NYERERE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Katika mazungumzo na BBC Swahili jana Mama Maria Nyerere amewasifia mama zetu kwa ushujaa wao wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Dada yangu...
Miaka 60 ya uhuru:Kinamama wengine hawakujua kusoma -Mama Maria Nyerere 6 Disemba 2021 'Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, ambayo sasa ni Tanzania, BBC imefanya mahojiano na watu mbalimbali, na miongoni mwao ni Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa baba wa Taifa hilo Mwalimu...
Wakuu nawasalimu kwa jina la muumba wetu sote.
Nimejaribu kuwaza tu kuhusu umri wa mama Maria Nyerere na haya matukio ya kiserikali tukizingatia na hali ya hewa ya huu ulimwengu kwa sasa naona ingekuwa vema tu kukampumzisha maana ni hafla ashahudhuria nyingi mno, kwa sasa anastahili kutulia...
DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955
Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la Kariakoo kwa ajili ya umbali baada ya kuhamia Magomeni Maduka Sita kwa msaada wa Ali Msham aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.