mama mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

    Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani? Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
  2. RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi. Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
  3. Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  4. Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…