mama mzazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  2. Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  3. Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

    Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala...
  4. Baba mzazi halisi wa mtoto atabaki kama siri ya mama mzazi

    UTANGULIZI MUHIMU: Kisa hiki ni cha kweli sio hadithi ya kusimuliwa wala kufikirika na nitakiandika kama ninvyokikumbuka. Kisa nitakiandika kwa ufupi na kukigawa iwe rahisi kusomeka. ANGALIZO; Majina yote ya wahusika yaliyotumika sio halisi. WAHUSIKA Nikiwa hometown nafanya kazi sehemu wakati...
  5. TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

    Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
  6. SoC04 Afya ya mtoto pindi anazaliwa ni bora zaidi kwa makuzi na malezi ya mtoto hii itasaidia kuleta kizazi bora hapa nchini

    UTANGULIZI afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
  7. SoC03 Mama mzazi anapigania haki za afya kwa mtoto wake

    MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE Imeandikwa na.Mwl.RCT UTANGULIZI Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na mama mzazi ambaye anapigania haki za afya kwa mtoto wake. Mama huyu atakabiliana na changamoto...
  8. H

    Mama mzazi wa Feisal aitaka TFF itende haki

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari Mama mzazi wa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto amelitaka shirikisho la Mpira wa Miguu kutenda haki hapo kesho.
  9. Kipofu amuua mama mzazi Njombe.

    Hakika inasikitisha sana matukio ya Mauaji yanaongezeka kwa kasi haswa Mkoani Njombe
  10. Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

    Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua. Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo...
  11. Mama mzazi amzika mwanaye usiku wa manane baada ya mtoto kufa kwa njaa

    Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane. Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
  12. Ushauri: Nimetofautiana kauli na mama yangu mzazi

    Hello JF Members, Nimekuja kidogo na channgamoto ya kifamilia, ukweli napitia kipindi kigumu sana kifedha imeleta changamoto nyingi sana kwa upande wa maelewano na mzazi haswa mama..ikafikia anasema ni bora angetoa mimba yangu. Nika very frustrated na kauli yake nikamjibu vibaya pia, ila kila...
  13. Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

    Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo . Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
  14. C

    Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

    Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi. Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my...
  15. TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

    Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip Soma pia: - Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae - Mwanahabari Erick Kabendera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…