mama ntilie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

    Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
  2. J

    Shamira asikiliza kero za mama ntilie na bodaboda Singida ili kuzipatia ufumbuzi!

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini. Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
  3. A

    DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  4. Sister Abigail

    KERO Wafanyabiashara ya chakula acheni kurudisha mabaki

    Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu. Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie anarudisha mchuzi uliobakishwa na mteja kwenye sufuria ya mboga nikakumbuka visa vyangu, silagi Kwa...
  5. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! nanyi walezi na wazazi muwasihi.

    Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua. Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
  6. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  7. M

    Mama ntilie Tanzania wachafu; wa Rwanda wana usafi wa hali ya juu

    Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli? Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na...
  8. Django Doer

    Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

    Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga). Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza...
  9. Melki Wamatukio

    Kuna mama ntilie anauza chakula kizuri. Tatizo liko kwa mwanae, wateja tunapungua

    Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
  10. sky soldier

    Tunaombeni uzoefu wenu wale mlioweza kuwatoa mabinti bush kuwaleta mjini, wana nafuu ?

    Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
  11. DON YRN

    SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
  12. Shujaa Nduna

    Inashangaza mnaishia kukagua kwa mama ntilie tu!

    Ninyi watu wa usafi huwa mnapita kwa mama ntilie kukagua apron kama wamevaa safi, lakini muwe mnatazama na maji wanayooshea vyombo, machafu hata bata hanywi. Picha kutoka maktaba Sasa twende katika hoja ya leo. Kwanini watu wa afya hamuwapi elimu na kuwasisitiza wale wanaopakia uchafu kwenye...
  13. M

    Kwa uchafu wa mama ntilie wa Tanzania, Bibi na Bwana Afya wako likizo?

    Hivi hawa Bibi na Bwana afya wapo? Migahawa ya Tanzania ni michafu sana na hao wapishi wenyewe ni wachafu mno. Hatukatai haki za watoto lakini kwa nini mtu mwenye mtoto mdogo asiejiweza aruhusiwe kufanya biashara ya chakula? Mtoto mdogo anakunya, mama ntilie anamtawaza muda huohuo keshaenda...
  14. K

    Yusufu Mlela ni kafulia au ni nini mbaya?

    Oya kwema wakuu? Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku...
  15. mwanamwana

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) yaongeza maneno 200 ya Afrika Mashariki

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi yanatumiwa nchini Kenya, Tanzania, na Uganda. Katika taarifa yake, OED ilisema kuwa lugha ya...
  16. R

    Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  17. Expensive life

    Baadhi ya mama ntilie wanatulisha uchafu

    Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana...
  18. MSHINO

    Mbunge wetu Gwajima tunaomba kujua imekuaje uhamiaji kukamata mama ntilie na machinga pale mbuyuni

    Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
  19. Red Giant

    Utalii wa msosi

    Umewahi toka matembezi ili kufuata msosi? Vitu vidogovidogo maishani vinaweza kukuletea furaha sana. Mi nilikua natoka mpaka feri. Nikifika naingia mle wanakaanga samaki. Nanunua pweza wa moto au samaki yeyote mkubwa, tena bei cheap tu. Wananiwekea kwenye bahasha. Hapo naenda beach pale nyuma...
Back
Top Bottom