Nitangulize angalizo, sio wote wasiozingatia usafi, naamini ni 6% ndo wanawaharibia wenzao!
Ngoja niwape story. Nyakati za alfajiri nimemsindikiza bonge wangu kuelekea ubungo kwa wifi yake akae huko ili kesho kutwa aelekee Kibaha!
Wakati narejea nyumbani, muda ule nimeshuka kwenye daladala...