Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...