mama salma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Salma Kikwete: Atoa Pole kwa Wananchi wa Mchinga kutokana na Athari za Mvua zinazoendelea

    Ndugu zangu wananchi wa Mchinga, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa changamoto zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jimbo letu. Tunatambua kuwa mvua hizi zimeleta athari kwa familia zetu, makazi, na shughuli za kila siku. Hata hivyo, napenda kuwahimiza kuwa na utulivu na...
  2. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  3. M

    Ingekuwa ni Kenya, hivi ule muswada uliotokana na pendekezo la Mama Salma Kikwete kuwa "wapenzi" wa viongozi nao walipwe ingekuwaje?

    Mama Salma alipendekeza kuwa wanandoa wa viongozi nao walipwe kama vile ambavyo "wapenzi" wao wanalipwa. Rais Samia Suluhu Hassan akaona hilo ni wazo zuri na akaamua kulifanyia kazi kwa kuunda muswada na kuupeleka bungeni. Sasa hivi, imekuwa sheria. Kwa hiyo, katika nchi hii, tuna wake wa...
  4. kitonsa

    Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

    Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100. Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi. Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili ni ajili ya wabunge kwenda kwa...
  5. Pascal Mayalla

    Mke Kuomba Ruhusa kwa Mume, ili Kusafiri Hata Safari za Kikazi!, Imekaaje?. Mama Salma Kikwete Huwa Anaomba Ruhusa!. Je Boss Ladies Wanaomba Ruhusa?.

    Wanabodi, Sorry, this is a duplicate Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa? Paskali.
  6. Pascal Mayalla

    Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?

    Wanabodi, Kwa mila na desturi za kiasili za Kiafrika, Traditional African tradition, kwenye ngazi ya familia, mume ndie mkuu wa familia, ndie anayechagua mchumba, ndiye anaya posa, adie anayelipa mahari, kununulia bidhaa ya mke!, ndie anaye oa, na kukabidhiwa bidhaa yake na kumhesabu mkewe ni...
  7. Suley2019

    Mama Salma asimulia Kikwete alivyowateka mabinti

    Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
Back
Top Bottom