mama wa kambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila...
  2. M

    Experience ya kulelewa na mama wa kambo

    Nawasalimu ninyi nyote, Mungu mkubwa nipo salama. Nipo hapa leo kuwapa experience yangu niloipata kutoka kwenye kulelewa na mama wa kambo (step mother) 1. Ukiwa na akili darasani KUSHINDA watoto wake imekula kwako utateswa mpka ujute kuzaliwa. 2. Watoto wake wakiwa vikojozi hafu wewe hukojoi...
  3. Familia ya Mzee Wagagigikoko inaongozwa na Mama wa Kambo

    Enzi za Uhai wa Mzee Wagagigikoko aliongoza familia yake kwa mabavu hata mkewe hakua na Sauti yako maamuzi. Familia ilinawili lakini watoto wa jirani waliolima shamba moja na mzee huyo walikonda kwa mateso na fitna sababu mzee huyu Katili hakupola chakula pekee toka kwa jirani zake Bali alipola...
  4. M

    Mapenzi yako kwa mkeo mpya yasimtese mtoto wako, mama wa kambo wengi makatili sana

    Natoa wito na onyo kwa wanaume wezangu, tusipelekeshwe na hisia, nyege na ujinga tusikubali na usikubali mwanao akae na mama wa kambo eti kisa tu wewe umempenda huyo mwanamke, utamponza mwanao atateseka sana na wengne hata wakiambiwa na majirani mwanao anateswa hawaelewi wanasema au wanatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…