mama yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Mtumie mama yako pesa, acha kuwapa pesa matajiri wanaoitwa wachungaji, mitume na manabii

    Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee. Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
  3. realMamy

    Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  4. Manfried

    Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  5. Loading failed

    Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  6. Father of All

    Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo. Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu. 1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke? 2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa...
  7. Magical power

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  8. Eli Cohen

    Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  9. M

    Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

    Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia...
  10. TUKANA UONE

    Hili Jiji la Dar es salaam limekubadilisha tabia au ni tabia yako iliyokuwa imefichika wakati huna pesa?

    Wairaq na wambulu wote ni ndugu! Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela! Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
  11. Eli Cohen

    Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  12. God Fearing Person

    Usiogope kumwambia mtu yeyote ukweli haijalishi ni mama yako au baba yako.

    Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
  13. M

    Muamini Baba na Mama yako unaowaona, hayo mambo ya Mungu achana nayo, hayapo na hayatokuepo

    Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over, Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
  14. G

    Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

    Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu. Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
  15. BabaMorgan

    Kama mama yako hajitambui basi lawama zote apewe baba yako

    Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua. Ukweli mchungu...
  16. G

    Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  17. ndege JOHN

    Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:- 1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
  18. Miss Zomboko

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  19. Kijana LOGICS

    Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  20. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
Back
Top Bottom