Maafisa wa Idara ya Huduma ya Wanyamapori (KWS) siku ya Jana Ijumaa walifanikiwa kumuua mamba aliyemla mtoto wa miaka 11 katika kijiji cha Manyuru, kaunti ndogo ya Ndhiwa Nchini Kenya.
Katika tukio hilo, mtoto huyo, Felix Odongo wa Gredi ya Pili alikuwa anachota maji na wenzake Mto Kuja wakati...