Yaani mkaguzi alikagua na kukupatia ripoti ya ukaguzi iliyoshiba Kila aina ubadhilifu, na mkaguzi aliyasemayote mbele yako nasi wanaanchi tukifatilia mubashara.
Leo tunasikia yakuwa unachunguza tena? Wanaochunguza nmeambiwa ni vijana wetu wa idarani ambao nao Wana watu wao wanausika katika wizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.