mambo ya kushangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Kutana na mzee wa miaka 64 anayependa kuvaa viatu virefu vya kike

    Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha. Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali...
  2. Mshana Jr

    Mambo ya kushangaza (ultimate amazing facts)

  3. Mwislam by choice

    Zanzibar

    Habari za kuamka wakuu Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar. Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo yananishangaza kuhusu wazanzibar na nchi yao! 1.Gharama za maisha Kama mnavyo jua zanzibar ni mji wa...
  4. D

    Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
Back
Top Bottom