Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe kama mada inavyosema ni tukio gani ulifanya kwenye utoto wako hata familia yako haijui mpaka leo.
Mimi naanza nakumbuka kipindi nipo darasa la tano nilikuwa nasoma mkoa X kati ya wale Watoto ambao tulikuwa na akili nilikuwa mmoja wapo nilikuwa...